Wapumbavu gani hao wanaanzisha vurugu tena?Wadau kwa mujibu wa Channel ten... Risasi na Mabomu ya machozi vimerindima muda huu M'nyamala... Kuna mdau yupo huko atujuze zaidi? SOURCE CHANNEL TEN ya Rostam Aziz.
Fuatilia hiyo hiyo Channel 10 utapata ukweli... ingawa hiyo hiyo station ilisema jamaa wamshikana mashati na wameshapelekwa polisi.Wadau kwa mujibu wa Channel ten... Risasi na Mabomu ya machozi vimerindima muda huu M'nyamala... Kuna mdau yupo huko atujuze zaidi? SOURCE CHANNEL TEN ya Rostam Aziz.
Mbona inabidi jambo hili lichunguzwe kwani kuna mdau ametoa taarifa hapa kuwa kuna magari ya jeshi la wananchi kama magari 10 hivi. Hayo magari kwanini yamepelekwa pale mapema? Usiwe mpango wa kuchakatua matokeo