Mimi nimekutana na makarandinga mawili ya riot police in full riot gear karibu na udasa bar chuo kikuu. Nimeenda kwenye kituo cha mlimani shule ya msingi nikakuta hali ni ya utulivu mno
Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa wananchi, sasa mnalalmika nini? Watu wakipigana mtaanza kusema polisi walikuwa wapi, wamekuwa arround,mnaanza kulalamika
Mimi nimekutana na makarandinga mawili ya riot police in full riot gear karibu na udasa bar chuo kikuu. Nimeenda kwenye kituo cha mlimani shule ya msingi nikakuta hali ni ya utulivu mno
nilipita hapo masaa matatu yaliyopita na kulikuwa na watu kibao wamerundikana kwa dizaini ya 'tulianzishe?'
Kiukweli kwa asili ya eneo lenyewe sikudiriki hata kusimama nilitamani nipae maana hawakawii kukuchenjia ww!
Lazima kulikuwa na tatizo, lipi hata mi sijui
Nilikuwa na tazama Channel Ten Live nimesikia mtangazaji wao akihabarisha toka M'nyamala na MANZESE kuwa kumetokea vurugu baada ya wafuasi wa Chama fulani eti CHADEMA wamefanya fujo wakitaka kuingia chumba cha kupigia kura eti kulinda KURA zao!!!!!Polisi imebidi watumie mabomu ya machozi na kurusha risasi hewani kuwatawanya wafuasi hao.
Sina uhakika kama kweli hao wafuasi ni CHADEMA. Najua kuna GREEN GUARDS ambao wamepewa mafunzo maalumu ya KUTENGENEZA MAZINGIRA YA VURUGU ILI IONEKANE KUWA CHADEMA NDIYO WANAANZISHA VURUGU HIZO.
Nawashauri viongozi waandamizi wa CHADEMA wafike eneo hilo ili wajiridhishe kama kweli hao ni wafuasi wa CHADEMA. Na kama ni kweli basi USHAURI WANGU NI KUWA HAO VIJANA WAONDOLEWE eneo hilo haraka wasije wakatuharibia uchaguzi na ushindi.
hapa LHRC, tupo na mdada 1 tu kati ya member kama 10 wa JF, tumetambuana kwa majina ya ukweli si ya JF. Nimefurahi kuwa nao, hizi vurugu za mwananyamala hatujazipata hapa bado.
twafuatilia
Taarifa nilizonazo ni kwamba KULIKUWA na maandalizi ya kuwaleta wapiga kura hewa kwenye kituo na wakaazi walipopata taarifa wakazingira eneo ndipo polisi waliamua kutumia nguvu kuwaondoa.
Wangelitumia busara na kuwaelimisha pasingetokea vurugu na hali ya wasiwasi
Hulka ya polisi kupenda na kuendekeza matumizi ya nguvu si ya kihekima hata kidogo
Tanzania Kwanza