Polisi wajue hakuna mjinga wa kuamini hili

Mwambieni masauni anitumie na ya kutolea ili asibanduliwe kwenye wizara ya mambo ya ndani.
 
Ikiwa hao ni wahusika kweli tutaacha kusikia matukio hayo huko ugogoni na pongezi ziwafikie maafande wa idodomya
 
usitumie ushirikina wala mihemko kusoma mambo wazi yanayoeleweka bayana kama hili gentleman πŸ’
Huyo kilaza mwenzio kashaanza kujua hakuna wajinga wa hivyo. Yaani vifo vyote walivyojua hao polisi ni vya kuchomwa kwa moto tu?!
 
Huyo kilaza mwenzio kashaanza kujua hakuna wajinga wa hivyo. Yaani vifo vyote walivyojua hao polisi ni vya kuchomwa kwa moto tu?!
soma taratibu gentleman mbona iko wazi sana hiyo taarifa kamili πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…