Polisi wajue hakuna mjinga wa kuamini hili

Sasa hivi watu wengi kwenye mambo ya msingi hawachangii sababu ya Hali ya wnachadema, yaani nyumbu wa mbowe. Wao ni kupinga Pinga tu Kila kitu. Mtu akichangia kwa mtazamo mwingine basi hao wamefika kumshambulia.....mjadala utatulia uki'yes' tu wanayoyasema wao. Ngoja tuangalie tu sasa
 
Taaraifa ya watekaji ina jipya lipi?
Wameshindwa kutoa mrejesho hata wa magumashi! wakati watekaji wanamchukua mateka wao mbele ya umati wa watu, ndani ya basi, mchana kweupe, na hawajafunika sura zao! Eti wameweza kuwakamata hawa waliotenda kwa kujificha.
Watoe mrejesho basi na kuwashukuru abiria ndani ya basi kwa ushirikiano wao, ukinipa mimi kazi nikawaoji wale abiria mbona jamaa wanatambulika.
 
unafikili kwa ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…