Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

Hawa watu kwa nini wasitoke na wana misingi mikubwa ya biashara kama hapo kariakoo unakuta mtu kapanga vijora si chini ya millioni 5 na Ushee ukiangalia biashara yake unajua kabisa huyu kodi ya Frem hashindwi kulipa
unazungumzia wale wanaopanga nyanya zao pale chini kuuza?

Mtaji wa milioni 5, unaweza kuulipia fremu ya laki tano kwa mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…