Polisi walikurupuka kumtengua RPC Dodoma

Hayo yote yatotelewa baada ya uchunguzi
Au ulitaka achunguzwe akiwa bado ofisini ??
Hizi ni akili za namna gani unazo ww

Mwambie atulie uchunguzi ufanyike
MBona polisi walikana kwamba kauli hiyo sio msimamo wa jeshi.

walithibitishaje kauli hii kama ni kweli ometoka kwa kiongozi mwenzao mpaka wafikie hatua ya kuikana ?
 
Kwani statement ya IGP ilisema sababu za mabadiliko ya RPC?
 
Mkuu mbona Hadi sauti ya RPC akizungumza ipo
MBona polisi walikana kwamba kauli hiyo sio msimamo wa jeshi.

walithibitishaje kauli hii kama ni kweli ometoka kwa kiongozi mwenzao mpaka wafikie hatua ya kuikana
 
Mbona Awadhi yeye wanamwacha na amejeruhi 4R je hawakuliona hilo la Mbeya. Mama RPC ameonewa.
 
Mkuu mbona Hadi sauti ya RPC akizungumza ipo
Ile sauti inanukuu mama akisema "hata kama watu wanasema ni malaya bado hakustahili kufanyiwa hivyo"

Je hiyo kauli ililenga kubeza au kumsaidia yule dada mtendwa ?
 
Mwambie huyo mamako awe anafikiri kabla ya kuropoka
 
Naona kanunua vilaza hawana hoja.
Wanalikosoa jeshi la polisi.

Nawauliza kama mwaindishi wa habari alikosea au kuandika uongo bila ushahidi wa audio ile angekua jela kwa uchochezi.
Haya mambo hayahitaji KAMA kama.

Lete ushahidi wa sauti wewe na mwandishi ili tuone ukweli wa kisemwach0
 
Huoni kama barua ya tuhuma imeambatana na utenguzi wewe jamaa ?

Kama barua ya yule jamaa wa kudai uaijipii ilivyoambatana na utenguzi.

Unataka kuleta taawil gani mzee
Kuna kuambatana/kufuatana (correlation) na kusababishiana (causation). Kufuatana si uthibitisho wa kusababishiana. Ila nakubali kwa 💯 RPC kuondolewa, ila sijui sababu za kuondolewa kwake.
 
Haya mambo hayahitaji KAMA kama.

Lete ushahidi wa sauti wewe na mwandishi ili tuone ukweli wa kisemwach0
Aisee nimekutukana Matusi makubwa wewe Mungu anisamehe
,yaani audio ziko kila mahali wewe unataka mimi nikuletee ushahidi wewe kama nani?
Nimekuuliza unafikiri bila ushahidi wa Audio mwandishi wa habari angebaki uraiani? Hukujibu..

Futa uzi wako huu nenda kacheze na watoto wenzako.
 
nadhani una hasira sana na inakunyima uelewa.

ILe sauti mbona iko wazi kwamba yule mama anasema "HATA KAMA WATU WANASEMA NI KAHABA BADO HAKUSTAHILI KUFANYIWA VILE"

Sasa hapo anayesema yule ni kahaba ni RPC au watu ambao yeye amewanukuu na kutaka binti atendewe haki ?

Kwa uelewa wako ni halali tu kutukana aisee
 
Walichofanya polisi ni kumnusuru polisi mwenzao asitimuliwe kazini ndio maana wakawahi kumhamisha ofisi.
 
Ulikuwa unataka ushahidi gani wakati amerekodiwa sauti yake kabisa akizungumza? Kama ni shangazi yako au mama yako mdogo umekuja kumtetea hapo huna hoja kijana.
 
Ile sauti inanukuu mama akisema "hata kama watu wanasema ni malaya bado hakustahili kufanyiwa hivyo"

Je hiyo kauli ililenga kubeza au kumsaidia yule dada mtendwa ?
"Askari Ni neno general tunaliacha Kama lilivyo " inamaana Hakuna uchunguzi wa kubaini mtuhumiwa
Hii Ni weakness tayari

""Ni Kama anajiuza" Hapa pia inaonesha hakuna uhakika kwanini wasingefanya uchunguzi ukamilike badala ya kumdhalilisha
Mwishoni wanasema uchunguzi umekamiliza kesi inaenda mahakamani
Rudi kasikilize Ile Sauti uje na hoja
 
Ulikuwa unataka ushahidi gani wakati amerekodiwa sauti yake kabisa akizungumza? Kama ni shangazi yako au mama yako mdogo umekuja kumtetea hapo huna hoja kijana.
Unakosa kuwa muelewa.

Kuhusu sauti nilishasema hapo juu nini alizungumza labda uwe sio msomaji mwelewa
 
Watu wamehamanika tu na tukio lenyewe.
Lakini hata Mimi sioni kosa lake,wamemuonea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…