Polisi wamewazuia viongozi na wafuasi wa Upinzani kwenda uwanja wa ndege kumpoke aOdinga

Polisi wamewazuia viongozi na wafuasi wa Upinzani kwenda uwanja wa ndege kumpoke aOdinga

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
KENYA: Polisi wamezuia wafuasi na viongozi wa upinzani waliokuwa wamepanga kwenda uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kumpokea kiongozi wao, Raila Odinga akirejea kutoka Marekani

Taaarifa iliyotolewa na polisi imesema uwanja huo wa ndege ni eneo ambalo wanaruhusiwa wasafari tu na watu wenye shughuli maalumu ambao hukaguliwa kuhakikisha usalama

Polisi pia waliwazuia waandishi wa habari na kusema hawaruhusu kuongea a waandishi uwanjani hapo

jkia.jpg


========================================================
Drama unfolded at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) on Thursday after police blocked a section of NASA leaders from making a press address at the airport.


The NASA politicians at the airport included Siaya Senator James Orengo, former Machakos Senator Johnstone Muthama, Woman Representative Gladys Wanga and former Kakamega Senator Bonny Khalwale.

Police also ordered journalists who had gone to cover the National Super Alliance (NASA) press conference to leave JKIA, saying they will not allow a media briefing at the airport.

On Wednesday, police declared JKIA out of bounds to opposition supporters who were planning to match to the airport on Friday to welcome NASA leader Raila Odinga back to the country. Odinga will be flying back after a one-week trip to the United States and United Kingdom.


“The attention of the police has been drawn to reports that some politicians are mobilising crowds to march to JKIA to receive Hon. Raila Odinga. JKIA is a protected area hence access is open to bonafide travelers and all others with legitimate business at the airport who must at all times be subjected to the standard security procedures,” read a statement from Inspector General of police Joseph Boinnet.


Meanwhile, NASA has moved to Kibra, a rally set to be held at Kamukunji Grounds in Shauri Moyo as a curtain-raiser for Odinga’s welcome party.


Kibra ODM chairman Jeckonia Onyango and his organising Secretary Sigar Agumba confirmed that they had been directed by party leadership to prepare Kibra grounds for the 2pm rally.


Mr. Onyango said that the venue change plan was arrived at after organizers learnt that a huge pool of security officers was deployed at the first venue if Shauri Moyo ahead of the coalition’s gathering.

Source: Citizen Tv
 
Mombasa road imefurika wana NASA wanakwenda kumpokea baba. Polisi wamezidiwa maarifa. Live citizen tv na NTV.
 
wapinzani wa afrika hivyo ndivyo wanapaswa kupelekwa ukiwapeleka kimayai wanakuchukulia poa
Raila ni gora lengine la wanasiasa, ukimfanyia hayo unayosema ndio unamuongeza nguvu kabisa. Serikali imefanya makosa makubwa sana kwa kuzulia wafwasi wake, sasa ndo wamempa airtime kabisa, ngoja uone maandamano ya kila siku yakirudi sasa, wangewazulia wafyasi wa raila pale getini, raila akishuka, wawapatie 30min alafu wote wasambaratike...
Soma historia ya Raila alivyoteswa na Moi kiasi cha kufinywa na gololi moja kuvunjwa huko chini, zama zile ilikua kumkosea Rais ni kitu kikubwa sana sahii hakuna kitu unaeza kumfanyia ambacho hajawahi kukiona.


Wafwasi wake nao ndo hao vichwa maji... wakiandamana wanasema ni lazima wapigane na polisi, la sivyo naandamano hayakufanyikiwa . Usipowarushia teargas wanaanza kulia wakidai ni haki yao kurushiwa teargas kwani ni hao ndo wameilipia kupitoa kodi

wp_ss_20171117_0001.png
wp_ss_20171117_0002.png
wp_ss_20171117_0003.png
 
Back
Top Bottom