katika hali ambayo haikutarajiwa ni hii hali ya ushirikiano wa kiutendaji kati ya Jeshi la Polisi na wananchi. Kupitia dhana ya Polisi Jamii wananchi wameweza kuwa karibu na wananchi na hivyo kupunguza wimbi la uhalifu katika maeneo yao na familia zao. Dhana hii ni nzuri, lakini hata hivyo yasemekana kuna mapungufu fulani fulani katika falsafa hii..., Naomba bila kujali wewe unaitikadi gani juu ya hili tulijadili kwa kina maana ni faida kwetu sote...:noidea: