Polisi wamwachie Lulu mara moja................

Rutashubanyuma,
Nakubaliana na wewe kwa mengi, lakini hili hapana!
Huyo binti anajua kila kitu kuhusu SK, hivyo ni vema akaendelea kushikiliwa!
Mbali ya jamii kuweza kuchukua maamuzi huko mtaani, lakini kubwa zaidi ni yeye binafsi kuweza kuchanganya na zake, na kuamua kunywa DIDIMAC, kwa nia ya kujipoteza(maana anajua alichokifanya)!
Uamuzi wa kuwa chini ya uangalizi wa Polisi ni wa msingi sana!
 
"MZOGA WA MTU?" mkuu Ruta inakuwaje tena hapa?
 
Kwenye RED alikuwa una maana gani hapo? Ulitegemea asife au?
 
Reactions: SMU
Huyu wasimwachie kwa sababu ya usalama wake, we angalia wanaodondoka na kuzimia, huyu bado mtoto watu awa wanaweza kumtoa roho bila kujali kuwa alihusika moja kwa moja au ni bahati mbaya.
Mzee Ruta, acha katoto aka kabaki kwanza kwani ulinzi wa Tanzania ni Mgumu sana, aweza kudhulika
 
Inasikitisha vibaya sana lakini polisi wako sawa, wamefuata sheria:

CAP 20 of Laws, Section 64 (1) c
THE CRIMINAL PROCEDURE ACT, ( 9 ) 1985

a person brought under the custody of a police officer on reasonable
suspicion of having committed an offence shall be released immediately, where:

(c) after twenty-four hours after the person was arrested, no formal
charge has been laid against that person unless the police officer
in question reasonably believes that the offence suspected to have
been committed is a serious one

Kwa hiyo polisi hapa akijisikia tu, anaweza kukulaza ndani wiki au hata mwezi, muda wowote anaotaka bila hata kuambiwa unashikiliwa kwa nini. Na huwezi kufanya lolote, huwezi kuomba bail, huwezi kupinga charges, utapinga charges za kosa gani?

Leo ni Lulu, kesho inaweza kuwa kwangu na wewe, tuombe hiki kitu kifutwe na katiba mpya.

Kwamba ndani ya masaa 24 iwe lazima upewe mashitaka, na haki ya kuomba dhamana, kwa vyovyote vile.
 
taratibu za sheria ya jinai mtuhumiwa wa kesi ya mauaji akikamatwa,atashikiliwa na polisi mpaka pale uchunguzi utakapokamilika, na mahakama ndiyo itakayo determine kama suspect has the case to answer
 
assume Katiba mpya inarekebisha kifungu hicho cha sheria; Mtuhumiwa kama Lulu akaachiwa iwe kwa dhamana au kwa kutokuwa na hatia, huoni kama maisha ya mtuhumiwa yanaweza kuwa hatarini kutokana na hasira na uchungu walio nao mashabiki, wapenzi, wakereketwa, marafiki, jamaa na ndugu wa marehemu?

Hatujui aliyoyabeba Lulu, vipi akaishia kujiua atapoachiwa huru wakti huu kwa sababu yeyote ile iwayo?

Polisi wana haki ya kulinda maisha ya mtuhumu (kama yungali hai) na mtuhumiwa (kama yungali hai).
 
Hapa ukidadafua nn maana halis ya m2 kuwekwa chn ya ulinz utapata hazma halis ya jesh la polis kumshikilia huyu m2,,'kwanza kwa usalama wake yeye binafs wa2 wanamajonz,hasira unadhan wakimuona huyo lulu c watamnyonga hadhar tambua kuna wa2 maisha yao bila kanumba c ki2 .....'uc2pie lawama jesh la polis naamin huwa hawakurupuk kama ww unavyofikiria
 
Uko sawa, lakini hapo kwenye bold sio kila mara, jamaa huwa wanakurupuka sana.
 
Kwa sababu za kiusalama ni vyema kuvuta subira kidogo.
 
hizi sheria ziangaliwe upya ni kandamizi................polisi wamepewa unlimited powers ambazo hazina namna ya kuthibitiwa...................it is very scary for all of us.......
 
Paka Jimmy.........na wewe tena umekuwa emotional?

Kanumba was a dead man walking.................too much hiv cocktail mixed with strong drinks....for more than a year....it was a case of massive internal organ failure......yule binti ius just a victim of circumstances.

By the way, even the Muhimbili doctors are uselless in solving the mystery of this case. kanumba hakuwa na concussion kama wanavyodai. kwanza hata kichwa hawakumfunua kujua kama damu zilivujia kichwani na wala hawajapig picha za mfumo wa damu au hata wa vile viungo wanavyosema viliathirika...........cynosure, external openings' scum oozing and bleeding are symptoms of a massive stroke resulting from massive internal organs failure..............
 
Lulu kafikishwa kisutu leo....................what a tragedy to this inefficient and dumb police force...........lakini tusishangae polisi huwa inaajiri wale intellectually basement students...............
 
taratibu za sheria ya jinai mtuhumiwa wa kesi ya mauaji akikamatwa,atashikiliwa na polisi mpaka pale uchunguzi utakapokamilika, na mahakama ndiyo itakayo determine kama suspect has the case to answer

ndani ya nyumba walikuwamo watu wangapi? kwa nini mtoa taarifa polisi peke yake ndiye kakamatwa? mdogo wa marehemu hana lolote hapa?
 
ndani ya nyumba walikuwamo watu wangapi? kwa nini mtoa taarifa polisi peke yake ndiye kakamatwa? mdogo wa marehemu hana lolote hapa?

polisi wetu si unajua walivyowabaguzi na wavivu wakufikiri?...........hata yule daktari aliyekuwa anamlisha Kanumba madawa ya hiv cocktail na huku akijua anakunywa pombe wala hachunguzwi...................na hawa Muhimbili bure kabisa maana hawakuchunguza tumboni mwa mwendazake kama alikuwa amekula nini....na kunywa nini...........majibu yalikuwepo ya kumwachia Lulu lakini uzembe huu utaisihia mtoto wa watu asiye na hatia............and she is underage.........ikimaanisha mwendazake alikuwa akimbaka mtoto wa watu hivi hawa WAMA WAKO WAPI NA tamwa..n.k
 
Kwenye RED alikuwa una maana gani hapo? Ulitegemea asife au?
Pole nilitafuta neno la haraka nikakosa...labda ningesema 'amekufa mwenyewe'..Lolz. Kama mtu amepoteza uhai wake lakini sio kwa 'kujiuwa' au 'kuuwawa' tungeweza kusemaje kwa kiswahili (neno moja ama mawili)!....neno linaloweza kuwa na/kukaribia tafsiri ya 'natural death'.
 
tatizo c lulu kushikiliwa tatizi ni kuwa hawajamtendea haki angepelekwa polisi kwa mahojiano na baada ya kuchukua maelekezo yake angeachiwa hadi uchunguz ukamilike na baada ya hapo kama itagundulika amehusika na kifo cha kanumba hapo ndo angekamatwa na si kumweka m2 ndani bila uchunguzi kuonyesha anahusika na hakuna taarifa iliyothibitisha kauua....hiyo ni kinyume na sheria na ana haki ya kushtaki hao polisi wasi na vigezo...hii nchi haina haki
 
yaani inasikitisha, the chap lived double life kwanza mimi siamini hata kama umri wake ulikuwa miaka 28. Ninaamini lulu will be free. the chap might have died of alcohol overdose or even drugs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…