Polisi wana ugomvi binafsi na chadema au wanatumika kisiasa?

Polisi wana ugomvi binafsi na chadema au wanatumika kisiasa?

muhubiri mpya

Member
Joined
Sep 14, 2019
Posts
20
Reaction score
12
Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema.

Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa polisi kwenye mkutano wa chadema mkoani Iringa iliyopelekea mauwaji ya mwandishi nguli Daudi Mwangosi.

Polisi kuvamia maandamano ya wanachadema Kinondoni na kupelekea mauwaji wa Akwilina, kwa ufupi kuna mlolongo mrefu wa matukio ambayo polisi huvamia mikutano na mihazara ya chadema...swali je polisi hufanya hayo wakitimiza wajibu wao ama hufanya wakiwa na shinikizo La kisiasa nyuma yao..?!!!
 
Back
Top Bottom