Polisi wanapambana kudhibiti sala zilizopangwa na wafuasi wa NASA uwanja wa Jacanranda

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Polisi wanapambana kudhibiti sala zilizopangwa na wafuasi wa upinzani (NASA) katika viwanja vya Jacaranda huko Embakasi, Nairobi

Polisi walirusha mabomu ya machozi kila mahali ikiwa pamoja na nyumba za makazi ya watu na kuwapiga watu waliokuwa wakijichanganya

Polisi waliziba sehemu za kuingilia kwenye viwanja na kupambana na wafuasi waliokuwa wanagoma kuitikia wito wa kuondoka

Asubuhi ya leo watu wasiofahamika walitupa takataka uwanjani hapo ili kufanya viwanja hivyo visifae kukusanyika kwa wafauasi na viongozi wa upinzani
police1.jpeg

===============================================
Police are battling to stop a planned National Super Alliance (Nasa) prayer rally at Jacaranda grounds in Embakasi, Nairobi.

The officers in full anti-riot gear on Tuesday threw teargas everywhere, including residential estates, and beat up whoever they came across.

They started by sealing off the venue before unleashing their arsenal on a group of youths who were marching to the grounds.

Even before the running battles started, a close look at the venue indicated that the requiem mass for victims of police brutality, which was to be led by Mr Raila Odinga, was doomed.

On the night before the rally, unknown people ferried and dumped raw sewage on the spot where dais was to be erected

Source: Daily News
 
Hii ndio shida ya wapinzani kila kitu wao ni fujo tu kweli ustaarabu ni jambo kubwa huwezi kulikuta kwa wapinzani
 
Polisi wanapambana kudhibiti sala zilizopangwa na wafuasi wa upinzani (NASA) katika viwanja vya Jacaranda huko Embakasi, Nairobi

Polisi walirusha mabomu ya machozi kila mahali ikiwa pamoja na nyumba za makazi ya watu na kuwapiga watu waliokuwa wakijichanganya

Polisi waliziba sehemu za kuingilia kwenye viwanja na kupambana na wafuasi waliokuwa wanagoma kuitikia wito wa kuondoka

Asubuhi ya leo watu wasiofahamika walitupa takataka uwanjani hapo ili kufanya viwanja hivyo visifae kukusanyika kwa wafauasi na viongozi wa upinzani
View attachment 639604
===============================================
Police are battling to stop a planned National Super Alliance (Nasa) prayer rally at Jacaranda grounds in Embakasi, Nairobi.

The officers in full anti-riot gear on Tuesday threw teargas everywhere, including residential estates, and beat up whoever they came across.

They started by sealing off the venue before unleashing their arsenal on a group of youths who were marching to the grounds.

Even before the running battles started, a close look at the venue indicated that the requiem mass for victims of police brutality, which was to be led by Mr Raila Odinga, was doomed.

On the night before the rally, unknown people ferried and dumped raw sewage on the spot where dais was to be erected

Source: Daily News
Signs of uncooth,uncunted and barbaric power mongers!
 
Back
Top Bottom