Nilikopa pesa kwa maandishi nikarejesha kiasi cha pesa muda ukapita sikurejesha kiasi kilichobaki kulingana na tulivyoahidiana.
Mdai akaja nyumbani na Police kunikamata nikalala kituo cha police hadi kesho yake. Nikatolewa kwa kudhaminiwa, police wakagoma kunipa simu yangu kwa madai mara nitakapo rejesha deni ndio watanipatia simu yangu, nikawaambia hiyo simu ndio naweza kupata shughuli itakayopelekea kulipa hilo deni police wakakataa nikaomba japo line wakakataa pamoja na mkuu wa kituo katakata, na wakasema tutakufungulia kesi ya wizi wa kuaminika.
Je, ni haki mdaiwa akafanyiwa hivyo na police, je kesi kama hizo zinapaswa ziendeshweje.
Naomba ushahuri wenu wadau wa sheria.