Duh! figisu zimeanzaMh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.
Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Hotuba nzito ndio ikoje?Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.
Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Sababu za kumkamata ataelezwa kituo cha polisiBREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
Mapolisi wamemuvamia na kulazimisha kumkamata na wamepiga mabomu ya machozi kutawanya watu Ili wamkwmate na wamemkamata hawajasema sababu za kumkamata
Kwa nini wasimuache aongee baadaye achoke?Halafu sie CCM tuendelee kupiga kazi!.Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.
Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Fu£% them. YataishaBREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
Mapolisi wamemuvamia na kulazimisha kumkamata na wamepiga mabomu ya machozi kutawanya watu Ili wamkwmate na wamemkamata hawajasema sababu za kumkamata
Ndivyo sheria zetu zinasema hivyo?Sababu za kumkamata ataelezwa kituo cha polisi
Kukamatwa mtu sio kitu public yeye atakuwa anajua alichokamatiwaNdivyo sheria zetu zinasema hivyo?
Hakuna kama mpanzu nchi hiiMh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.
Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.