Yeye ndie ajua alichokamatiwa hata wewe mfano ukikamatwa polisi hawawajibiki kuwa lazima watangazie umma umekamatiwa nini? Mtajuana na polisi hukoKabla ya kukamatwa sheria inasema mpaka uende police? Hizo ndio hoja zenu
Wapo watakaopambana nae pamoja maana wapo na hawajawahi kumuacha toka mmempiga zile risasi, Mungu atasimama nae, hakuna jipya ni ukosefu tu wa akili mlioukosa na hamjawahi kuww nazo.Yeye ndie ajua alichokamatiwa hata wewe mfano ukikamatwa polisi hawawajibiki kuwa lazima watangazie umma umekamatiwa nini? Mtajuana na polisi huko
Kukamatwa mtu sio tangazo la biashara cha msingi yeye mwenyewe binafsi ajue kakamatiwa nini apambane mwenyewe huko polisi
Hapo ndio huwa sielewi!!wanasema jamaa ni mpiga kelele wala hana madhara!!kwanini huwa wanamuogopa?!CCM siasa hawaziwezi
Kwa lugha sahihi TZ ni sawa na Myanmar siyoTAL sasa ameanza kuonja utamu wa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa
Mwenzake alikaa jela miezi 8, sio kazi ndogo.
CCM ni serikali na serikali ni CCM!
Pale Mbinga kuna fundi gereji Maarufu sana anaitwa Achimwenengule! Unaitwa na OCD unasema umechooka sana...! Ndiyo utii wa sheria huo?mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu
Yeye ameuliza kosa la kukamatwa kwake. Hizo zako ni ngonjera nje ya sheria.Yeye ndie ajua alichokamatiwa hata wewe mfano ukikamatwa polisi hawawajibiki kuwa lazima watangazie umma umekamatiwa nini? Mtajuana na polisi huko
Kukamatwa mtu sio tangazo la biashara cha msingi yeye mwenyewe binafsi ajue kakamatiwa nini apambane mwenyewe huko polisi
Lile si ni kombe la wanawake?Hakuna kama mpanzu nchi hii
Inabidi haya yatokee ili Ukombozi uje. Msife moyo WatanzaniaBi haingaya hila yoyote ya Lissu hutaweza - utatangulia wewe umwache , soma alama za nyakati.
Ni ushauri tu una hiari kuupuuza
Mandela 27yrsMandela alikaa miaka ishirini
Wewe lazima ni mwizi wa mali za umma halafu ni muislam ndio maana hutaki mabadilikoSababu za kumkamata ataelezwa kituo cha polisi
GereLile si ni kombe la wanawake?
Halafu wenzenu walishacheza fainali.
Wewe lazima ni muislamuPiga kabisa.Atie akili.
Hebu weka kichwa chako uelekeo wa mnara, wanao sikiliza hotuba pamoja na polisi nao wanajua kizuri na kibaya alichokisema, endapo ataongea bila watu kusikia sijui utajuaje kosa lake.Kukamatwa mtu sio kitu public yeye atakuwa anajua alichokamatiwa
Wewe subiri taarifa za Polisi