Polisi wapiga marufuku CHADEMA kuadhimisha siku ya wanawake

CCM ni kama haipo, sasa Polisi ndio waliopewa kazi ya siasa.
 
Kumbe Mahakama inauwezo wa kubadili hadi jinsia za watu?!Si ni Siku ya Wanawake Wote Duniani au BAWACHA ni Wanaume kwa amri ya Mahakama sasa?
 
Zuio si lilikua la mali na kufanya shughuli za siasa?
Wanachama wamekatazwa? Si mahakama ilitaja list kamili. Yaani wanachama wakikutana majumbani tu wanakua wametumia mali ya chama?
 
Reactions: Lax
Faki these sons of bitches! TANPOL iache kuwa moja ya jumuia za CCM.

Kiutaratibu, mwenye haki na uwezo wa kufanya determination ya whether or not contempt of court imetokea ni mahakama yenyewe, sio polisi. Mahakama ikijiridhisha kwamba contempt of court imetokea, itaamua hivyo na kutoa adhabu kwa wanaohusika.

Mahakama zinatoa orders mbalimbali kila siku ya Mungu. Je, polisi wanafuatilia orders zote kuhakikisha kwamba zinafuatwa na wahusika?
 
Wanataka kuua tena
Chadema tuache unyonge, hivi huyo said issa hana makazi? Tunashindwa kumsalimia nyumbani kwake!! Hana watoto mashuleni huko? Mkewe hana biashara kokote?

Tukimbana mkewe tu jamaa atafuta kesi!! Tuache kucheka na hawa wasaliti mbona enzi za Dr Slaa tulikua tunashughulika nao
 
Ushauri wako unafanyiwa kazi
 
Yaani ujinga wa uji uji kabisa
 
Wanachama wamekatazwa? Si mahakama ilitaja list kamili. Yaani wanachama wakikutana majumbani tu wanakua wametumia mali ya chama?
MKuu kesi sijafatilia kiundani mkuu, ila bila ya kupewa ruhusa rasmi kinachoyokea ndo kitaendelea kutokea,

Hiyo kesi mayala interview yake pale jambo tv alisema kwamba cdm wangeenda kufile mahakamani kwamba mida umeisha iondolewe maana waliofungua wameishindwa,

Sasa kina nshala kule wao wanakazia kwamba muda umeisha hivyo maisha yanaendelea.

MI nawatakia kila la kheri pande zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…