Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,154
- 7,083
Moja kwa moja kwenye mada.
Polisi wapo kila kona ya mkoa wa Dar es Salaam, hawa waliokosa elimu na fedha kwanini wanasumbua mitaani.?
Hapa najiuliza kodi(PAYE) yangu ni zaidi ya Tsh500,000/= kila mwezi halafu anatokea mtu nyumbani kwangu eti nitoe pesa ya ulinzi shirikishi.
Tanzania kama nchi inatakiwa tutafute mabadiliko hasa namna ya kukusanya kodi na kutumia vizuri.
Nashauri serikali iwalipe hao walinzi wao uchwara kama hakuna pesa waache kulinda kila mtu apambane na hali yake.