Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile!
=====
Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
Wakati Mbowe na wenzake wakiachiwa kwa dhamana, kada wa chama hicho, Mdude Nyagali ameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano zaidi.
Akizungumza na Mwananchi leo Novemba 23, 2024, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Agustino Senga amesema baada ya mahojiano na viongozi hao, wameachiwa kwa dhamana na masharti maalumu huku wakibaki na Mdude Nyagali.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Amesema wanamshikilia Mdude kwa ajili ya kuhojiana naye kuhusu mambo mengine yanayomkabili.