Wakati Mbowe na wenzake wakiachiwa kwa dhamana, kada wa chama hicho, Mdude Nyagali ameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano zaidi.
Akizungumza na Mwananchi leo Novemba 23, 2024, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Agustino Senga amesema baada ya mahojiano na viongozi hao, wameachiwa kwa dhamana na masharti maalumu huku wakibaki na Mdude Nyagali.
Niko ktk hatua za mwisho kabisa za kutengeneza mabomu ya mkono ya kienyeji. Mpk Sasa nimefanikiwa kuetengeza mabomu efu 15. Malengo ni kuwa na mabomu elfu 28.
Changamoto ninayokutana nayo nj ukosefu wa egg-shells.
Baada ya hapo nitaitosha maandamano nchi nzima, na waandamanaji watajilinda kwa mabom.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema usiku huu saa 12:54, Viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti na Polisi Mkoani Songwe. Mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA Jon Mrema amesema “Mdude hajaachiwa, RPC...
www.jamiiforums.com
Wakati Mbowe na wenzake wakiachiwa kwa dhamana, kada wa chama hicho, Mdude Nyagali ameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano zaidi.
Akizungumza na Mwananchi leo Novemba 23, 2024, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Agustino Senga amesema baada ya mahojiano na viongozi hao, wameachiwa kwa dhamana na masharti maalumu huku wakibaki na Mdude Nyagali.
Amesema wanamshikilia Mdude kwa ajili ya kuhojiana naye kuhusu mambo mengine yanayomkabili.
Niko ktk hatua za mwisho kabisa za kutengeneza mabomu ya mkono ya kienyeji. Mpk Sasa nimefanikiwa kuetengeza mabomu efu 15. Malengo ni kuwa na mabomu elfu 28.
Changamoto ninayokutana nayo nj ukosefu wa egg-shells.
Baada ya hapo nitaitosha maandamano nchi nzima, na waandamanaji watajilinda kwa mabom.
Kwa nchi zilizo endelea wana m recruit anakua double agent wao anawapa taarifa uku bado akiwa chadema ila inataji mtu mweny upeo wa kufikiri kunizidi mm. Kuelewa ilo
ccmu ni makaburu lkn amin haya yatapita na ccmu watabakia kweny historia kwa ubaya wao , vizaz na vizaz wataisoma ccmu kwa ubaya waliotufanyia watanganyika
amani ni kumuua mzee Ally Kibao ? UBINAFSI ulifanywa tukatekwa , mambo huanza kwa watu wa mbali mkiwamaliza mnaanza kufungana nyiny ccmu , Nyerere alisema dhambi ya ubaguz haiish mpk mbaguane wenyewe