Polisi watanda chuo kikuu SEKOMU, Lushoto

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametanda chuo kikuu cha SEKOMU, kuzuia wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao wanadai pesa yao ya tahadhari(caution money) pesa ambayo chuo kinadai kukata kiasi 20000 kwa ajili ya quality assurence fee.
 
Hii nayo ni habari ya kuletwa humu?no wonder mnadharauliwa.
 
Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametanda chuo kikuu cha SEKOMU, kuzuia wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao wanadai pesa yao ya tahadhari(caution money) pesa ambayo chuo kinadai kukata kiasi 20000 kwa ajili ya quality assurence fee.

Ht SMMUCo wametozwa hyo 20000 wanadai ya TCU. Jamaa hawafai
 
Back
Top Bottom