Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 9, 2025 #1 Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa katika selo. Uchunguzi umeanzishwa. Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa
Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa katika selo. Uchunguzi umeanzishwa. Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,147 Jun 9, 2025 #2 Taarifa zipi za uongo??? Umeandika as if kila mtu ana elewa na kilichotokea kwa huyo Albert Ojwang. Anyways Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema.
Taarifa zipi za uongo??? Umeandika as if kila mtu ana elewa na kilichotokea kwa huyo Albert Ojwang. Anyways Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 11, 2025 #3 Duh aiseee waongo sana