Kenya 2022 Polisi wavamia ofisi zinazoaminika kuwa za William Ruto, Wachukua kompyuta mbili na Seva mbili

Kenya 2022 Polisi wavamia ofisi zinazoaminika kuwa za William Ruto, Wachukua kompyuta mbili na Seva mbili

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Polisi katika mji Mkuu Nairobi wamevamia ofisi zinazoaminika kuwa na uhusiano na Naibu wa Rais, William Ruto, na kuchukua kompyuta 2 na seva 2

Uvamizi huo unajiri huku kukiwa na mvutano kati ya vikosi vya usalama nchini na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) baada ya mkuu wa tume hiyo kukosoa kuzuiliwa kwa wakandarasi wa mfumo wa kielektroniki wa kupiga kura nchini

.............................................................

Kenyan police in the capital Nairobi have raided offices believed to be linked to the country's deputy president, William Ruto, who is one of the main candidates in next month's elections. A police official said detectives had seized two computers and two servers.

An official at the deputy president's campaign secretariat told the BBC they would not want to be drawn to what he described as "mere side shows and distractions". The raid comes amid tension between the country's security forces and the country's Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC).

Over the weekend the head of the commission strongly criticised a decision to detain three foreign nationals who had been contracted to work on the country's electronic voting system. The police dismissed allegations by the IEBC, saying there was no evidence showing that the electoral body had contracted the trio or that they were employees of the firm contracted by the commission.

The presidential race is seen as a close contest between Mr Ruto and a former prime minister, Raila Odinga.

SOURCE: BBC
 
Every human being has a dark element inside,umesahau yaliyotokea US,pale wafuasi wa Trump walipovamia bunge wakidai wamepolwa uchaguzi?
Kwahiyo yakitokea US basi ni kigezo cha kuona Hilo jambo ni kawaida?, Mbona yalipitokea Tanzania wakenya walifungua midomo na kulaani kwamba uchaguzi sio huru na haki?
Tony254
Don YF

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila wakenya wanajielewa ndo maana hawachezewi na wanasiasa
 
Ila wakenya wanajielewa ndo maana hawachezewi na wanasiasa
Uhuru Kenyatta kuiba pesa na kuzificha nje ya nchi, wanasiasa kujilipa mishahara mikubwa kuliko nchi yoyote hapa Afrika wakati wakenya wa kawaida hawawezi hata kununua unga wa ugali, wanasiasa kujimilikisha ardhi yote nzuri wakati mamilioni ya wakenya wanateseka kwa njaa, hivi wewe unajielewa kweli?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Elections are won and lost "kwa" server-aint it CRUD bwana?
 
[emoji1][emoji1] si yanajifanyaga yenyewe Ni mabingwa ya demokrasia,yachapane tu sasa.
Acheni moyo wa hivyo. Wakichapana athari zake zitatupata. Kumbuka kuwa bidhaa nyingi za viwandani huwa tunazipata kutoka Kenya kwa bei nafuu. Mazao yetu mengi ya shambani pamoja na mifugo huwa tunauza Kenya. Uliza boda ya Sirari ilivyo na mchango mkubwa katika pato la Taifa.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Taja bidhaa 3 kubwa za viwandani ambazo Tanzania hatuzalishi tunategemea Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Taja bidhaa 3 kubwa za viwandani ambazo Tanzania hatuzalishi tunategemea Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ziko nyingi, sio tatu. Labda wewe uko mbali na mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Mara (kanda ya ziwa yote). Kama unaweza pata rafiki pale Sirari, Namanga, Holili (Taveta)Border atakuthibitishia.

Jesus is Lord
 
Mikoa ya mipakani hupata huduma za Nchi jirani kutokana na ukaribu ili kupunguza gharama za usafirishaji, sio kwamba hizo bidhaa hazipatikani nchini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom