Mufupi JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 945 Reaction score 910 Jul 20, 2025 #21 Hivi hapo polsi wanajionaga makomandoo hatarii wakiwadhibiti chadema. Na ninyi vijana wa chadema mnatakiwa kujua wazi kwamba chama chenu kinawanyima usingiz watu. Kwahyo hao wanaowakamata wanataka mabosi wao walale usingiz ili wasije gombezwa.
Hivi hapo polsi wanajionaga makomandoo hatarii wakiwadhibiti chadema. Na ninyi vijana wa chadema mnatakiwa kujua wazi kwamba chama chenu kinawanyima usingiz watu. Kwahyo hao wanaowakamata wanataka mabosi wao walale usingiz ili wasije gombezwa.