Polisi wawatawanyisha kwa mabomu Waandamanaji wanaopinga ujenzi Bomba la mafuta Uganda Tanzania

Polisi wawatawanyisha kwa mabomu Waandamanaji wanaopinga ujenzi Bomba la mafuta Uganda Tanzania

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo.

Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea kupingwa na wanamazingira na wanaharakati wa haki za binadamu ndani na nje ya Uganda.

Na hiyo ndiyo sababu ya kuchelewa kuanzishwa kutokana na kujiondowa kwa waliotarajiwa kuufadhili.

DW Swahili

PIA SOMA
- Serikali ya Uganda bado inatafuta Mfadhili wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima hadi Tanga

- TotalEnergies yashtakiwa Ufaransa kwa ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye mradi wa Bomba la Mafuta Uganda - Tanzania
 
Back
Top Bottom