Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Jun 26, 2024 #1 Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo. Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea kupingwa na wanamazingira na wanaharakati wa haki za binadamu ndani na nje ya Uganda. Na hiyo ndiyo sababu ya kuchelewa kuanzishwa kutokana na kujiondowa kwa waliotarajiwa kuufadhili. DW Swahili PIA SOMA - Serikali ya Uganda bado inatafuta Mfadhili wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima hadi Tanga - TotalEnergies yashtakiwa Ufaransa kwa ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye mradi wa Bomba la Mafuta Uganda - Tanzania
Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo. Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea kupingwa na wanamazingira na wanaharakati wa haki za binadamu ndani na nje ya Uganda. Na hiyo ndiyo sababu ya kuchelewa kuanzishwa kutokana na kujiondowa kwa waliotarajiwa kuufadhili. DW Swahili PIA SOMA - Serikali ya Uganda bado inatafuta Mfadhili wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima hadi Tanga - TotalEnergies yashtakiwa Ufaransa kwa ukiukaji wa Haki za Binadamu kwenye mradi wa Bomba la Mafuta Uganda - Tanzania