Polisi wazingira ofisi ya za CHADEMA, Muliro adai wanaimarisha ulinzi wasijesema wametekwa

Ni
Nani alitamba kama Simon Sirro leo yuko wapi ,Muliro aache maneno ya mipasho
Kulikuwa na Gewe,Tibaigana na Kova sasa wako wapi,na Mahita kajenga msikiti Morogoro ana swali yeye na ndugu zake pekee, umesusiwa.
Ni Balozi Sasa shida Iko wapi?
 
Kwa kauli hiyo ya Muliro hapo Polisi wamekubali kujivua jukumu la kuchinguza haya maswala ya utekaji na mauaji.
Kama Wananchi na CHaaDEMA wanaituhumu Polisi, halafu Polisi na wanakejeli tuhuma dhidi yao hapo tayari wamepoteza uhalali wa kuchunguza matukio hayo.
 
Aendelee kuhimarisha ulinzi ofisi zizungukwe 24/7 ili wasitekwe
 
Bora wamefanya hivyo. Kuwapa Ulinzi wasijiteke.

Shoot, hata kujimiminia risasiπŸ™ŒπŸΎπŸ€―.

Wamewawahi safari hii.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ§
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…