Polisi Wazuia Mikutano ya ACT Wazalendo, Same kwa Maagizo ya Serikali

Polisi Wazuia Mikutano ya ACT Wazalendo, Same kwa Maagizo ya Serikali

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Jeshi la Polisi Wilaya ya Same limetangaza kusitisha mikutano ya hadhara ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ambayo ilitarajiwa kuanza Novemba 13, 2024.

Hatua hii inakuja kufuatia maagizo kutoka kwa ofisi ya serikali ya mkoa inayozuia mikutano ya hadhara kabla ya tarehe rasmi ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, ambayo inatarajiwa kuanza tarehe 20 Novemba 2024.
GcG_cxZXsAAtQ-g.jpg
Pia, Soma:

+ ACT Wazalendo: Wagombea wetu 51,423 wameenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
+ Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda
 
Back
Top Bottom