Polisi wetu na sheria mkononi

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855


 
hakuna haki dawa ni kuwachapz police kani tunao mitaani kwetu kama ndivyo wanwatendea wake zetu hivi
 
Kusema ukweli wanakera na ningejua namba za sim za hawa takukuru nafikiri ingesaidia maana wanamkamata mtu wanamweka sero ukifuatilia wanakwambia una sh ngapi? Sasa hii inakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…