Vyama tawala vya afrika vilikubali mfumo wa vyama vingi kwaajili ya kupata misaada wala sio demokrasia ndo maana tume huru hawataki mf.ni Tz na Uganda nk
Hapa kwetu hata yule jamaa wenu mnayemuogopa kama ukoma anayeitwa Kova hawezi jimudu hapa. Huwa ni shughuli, lazima kieleweke hadi wapate haki yao. Patamu aisei, tunajionea movie.