Polisi yaeleza mazingira mwalimu aliyetoweka Simiyu na kukutwa amefariki Musoma

Nina Nyumba zangu kule Maskauti na hapa Njia Panda ya Nguzo,nimesikitika juzi kupata taarifa kwamba Mzee Pius Alifariki[emoji24] alikuwa rafiki yangu sana,sijaja Madale tangu Juni mwaka jana
 
Yaani hadi hizi taarifa wamezitoa hao watuhumiwa, watakuwa wamebinywa sama mapumbu
 
Ujasiri wa hatari sana,mwanamke unabeba 9.5m alafu umezungukwa na wanaume watano? Daah,pumzika kwa amani
Mbona za chinichini nilisikia aliemshawishi kwenda huko ni boy friend wake? Na boyfriend alikuwepo pia? Siamini mtu ataenda na hizo pesa bila kuwa na mtu anaemjua
 
huyu alijitakia kufa mwenyewe
 
Hosea 4:6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…