Polisi yakanusha Magari kuhamishwa Tunduma kukwepa hasara wakati wa maandamano

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433


Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…