Polisi yatangaza kuwakamata wanaodaiwa kufanya Ujambazi maeneo ya Goba, wajeruhiwa kwa risasi


Hao jamaa niliwaona jana wanavuja damu balaa kuna mmoja alikuwa mbishi wakamtuliza moja ya paja alafu wakawa wanazunguka nao huku damu zinamwagika tuu hadi raia washughuda wakawa wanakimbia hofu kwa kuona damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…