Chukii ukristo,.Mbona makanisa mengi tu wanafanya ibada? Kuna wakati Masheikh walikamatwa na kuwekwa ndani,Unataka kusema ilikuwa ni kuuchukia uislamu?MamaSamia2025 ni sadist.
Anauchukia Ukristo
Hao nao wanawashwa, nani kawaambia Mungu yuko hapo?Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
View attachment 3388222
Wao wenyewe wanakufa km kuku wa kideri watamsaidia nani wale wala mirungi na bangiKenyans waje kutusaidia
Ndio atulize bakuli lake hiloTumeona jinsi alivyopenyeza Polisi kwenye makazi ya maaskofu kurasini na Father Kitime akashambuliwa na mtu aliyefahamika kuwa ni askari kutoka Kilwa Road, Hadi leo Ile kesi Iko kimyaaaaaaà
Mboni maigizooo?Ibadi wameachiwa polici waiongoze,wakati nchungaji kaenda kuchukua fomii,sasa iweje waongoza ibada wanafukuza kondoo?Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
View attachment 3388222