Polisi yavamia na kuvunja ofisi za CHADEMA Dodoma na kupora nyaraka

Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
Kwa akili yako kwa nguvu wanayotumia unafikili wanaagizwa na igp?.alafu samia amekaa tuu ametulia?.hyo ni amri ya samia wala hakuna yeyote .samia amebadilika mpaka anashtua.hata magufuli mliemchukia hakuwafanyia hivi.
 
Pale polishsishiemu wanapoacha majukumu yao na kutumika kisiasa ni hatari sana na amin nawambieni mwezi ujao hautafika mtasikia kitu huko , mkuu wao mwenyewe kapaukaaaa japo ana kilamkitu na chanjo kachoma , take my Thread
 
Mama alkiwa ndiye amiri jeshi mkuu ajifunze kuchagua maneno pale anapongea mbele ya hadhara. Maneno yake ya kutamka "baadhi ya watu kutaka kuleta chokochoko" tafsiri yake ndiyo hii tunaiona kupitia utekelezaji kwa vitendo wa jeshi la polisi.
 
Imeshamshinda
Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
 
Mama akiacha hii hali Iendelee, nchi itamshinda huko mbeleni. Asiwategemee sana watu wa Magufuli. Wengi wao hawana uwezo... Waliwekwa kwenye hizo nafasi kutokana na utii wao wa kupokea na kutekeleza maagizo toka juu.
Mbona haikumshinda Magu ambae nae alikuwa anafanya hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…