WanaJF,
Katika pitapita zangu nimeona hatuna thread ya Political cartoons. Sometimes we need humour hata katika yale yenye kutuumia kiakili. Kwa hiyo nimechukua fursa hii kuiazisha thread hii ili yeyote mwenye political cartoon abandike hapa ili tufurahi pamoja.
ninaanza na ya US elections 08