Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Relevance is the concept of one topic being connected to another topic in a way that makes it useful to consider the first topic when considering the second. The concept of relevance is studied in many different fields, including cognitive sciences, logic, and library andinformation science. Most fundamentally, however, it is studied in epistemology(the theory of knowledge). Different theories of knowledge have different implications for what is considered relevant and these fundamental views have implications for all other fields as well.
Political Relevance is the only reason Watu hawa wametangaza nia ya kugombea urais huku wao na sisi tukijua kuwa hawatapata uarais wala hawatakuja kuwa marais wa Tanzania mpaka yesu atakaporudi.
Dhumuni lao ni kutaka kuendelea kuwarelevant (halali na muhimu), valid and popular katika political cycles za nchi na machoni mwa watu na hasa uongozi ujao. They want to continue to be connected to another topic ( wananchi na the next government) ina way that makes it useful to themselves and themselves alone. Nnawaongelea watu hawa-:
Khamis Kingwangwala
January Makamba
Mwigulu Nchemba
Zito Kabwe
Steven Wassira