Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
Habari Wana JF
Naombeni Msaada\ushauri Kuhusu Faculty Ya Political science and public administration ya hapo UDSM.Ninasoma HGL naingia form 6 mwaka huu,napenda sana kusoma hyo facult yan malengo yangu yame rely hapo
So Naomba Mnijuze Kuhusu Merits Ya Hyo Fac. Na Jinsi Gani Ya Achieve My Goals