Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
sio Faculty, ni Bachelor/Degree/ Programme.
Ni nzuri sana, though upatikanaji wa ajira umekua mgumu sababu wanaohitim hii course wamekua wengi kwenye market. ukimaliza mitihani jaribu kutafuta Programme archtecture yake uone.
Upo tayari kukutana na Jeriko aka Bendera ya Chuma?, Lupa, Makulilo, Nyirabu, Bana, Muya, na dogo mmoja anaitwa Lodrick
sawa mkuu nimekuelewa,,vp kuhusu kupata nafasi hapo UDSM