Michael snow
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 102
- 12
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...![]()
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...![]()
Acha mawenge kijana tulia tupige shule mm pia nipo pspa.
mbona nzuri hyo kozi wasiwasi wako ni nini hasa??? me pia nimechaguliwa hyo kozi ila kuleee homeeee(udoooooom ndo home) karibuni!!!
Nyie Km Mnataka Kufa Njaa Somen Hyo Course,mtasugua Kitaa Mpk Miaka 10,ushaur wangu soma education,ndo uhakika wa ajira then badae unaangalia ustaarab mwngne,
Ajira zipo, ata ukisoma kitu gani ukitulia na vyeti nyumbani ajira haikufati, tulia tupige shule kwanza.
Karibuni vijana PSPA UDSM tupambane na akina dk Bruce na prf mkandala
Naenda 1st year,sitabadili napambana adi mwisho kikubwa nafight nipige gpa Kali tu.
me mwenyewe i wish iwe hivyo but baadhi ya watu wananikatisha tamaa khs ajira
Naenda 1st year,sitabadili napambana adi mwisho kikubwa nafight nipige gpa Kali tu.