Political Science and Public Adminstration vs Education

Michael snow

Senior Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
102
Reaction score
12
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...
 
Acha mawenge kijana tulia tupige shule mm pia nipo pspa.
 
mbona nzuri hyo kozi wasiwasi wako ni nini hasa??? me pia nimechaguliwa hyo kozi ila kuleee homeeee(udoooooom ndo home) karibuni!!!
 
Nyie Km Mnataka Kufa Njaa Somen Hyo Course,mtasugua Kitaa Mpk Miaka 10,ushaur wangu soma education,ndo uhakika wa ajira then badae unaangalia ustaarab mwngne,
 
Acha kukatisha watu tamaa kama ingekua hailipi ao malecturer wanaofundisha, wanafundisha bure au? Na kwanini watu waendelee kupoteza pesa kuisoma, we kapige education Stella Maris.
 
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...

kama ni ajira degree zenye ajira ni ualimu (education) na usimamizi wa sheria(law enforcement) pale jeshi la polisi vinginevyo kwa kozi zingine ni bahati-kujuana-rushwa nk.
 
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...

Dogo kasome education.. hio pspa janga. Binafsi nilichaguliwa pspa nikabadili nikasoma education sasa mwaka 2 kazini na naanza masters.

Rafiki zangu waliosoma pspa bado wako na bahasha mkononi.
 
Karibuni vijana PSPA UDSM tupambane na akina dk Bruce na prf mkandala
 
mwanzo mugumu ila kila kitu heri tu,..hyo kozi nzuri na watu kibao wametoka kupitia kozi hyo,..muhimu msuli tu ili ufaulu vizur iwe rahic kushindana ktk soko la ajira!!!
 
mbona nzuri hyo kozi wasiwasi wako ni nini hasa??? me pia nimechaguliwa hyo kozi ila kuleee homeeee(udoooooom ndo home) karibuni!!!

sawa ni nzuri lakin baada ya kumaliza itanibeba au?
 
Nyie Km Mnataka Kufa Njaa Somen Hyo Course,mtasugua Kitaa Mpk Miaka 10,ushaur wangu soma education,ndo uhakika wa ajira then badae unaangalia ustaarab mwngne,

kweli kaka kuna ndugu yangu kasoma hyo pspa but yupo mtaani huu mwaka wa tatu kila akitafuta ajira wanamwambia mpaka awe na uzoefu wa miaka mitano na kuendelea ndo sasa hivi anatafuta nafas aende jeshini
 
Ajira zipo, ata ukisoma kitu gani ukitulia na vyeti nyumbani ajira haikufati, tulia tupige shule kwanza.
 
Naenda 1st year,sitabadili napambana adi mwisho kikubwa nafight nipige gpa Kali tu.
 
soma pspa, halafu ingia jeshini ,achana ualimu hauna maslahi kabisa salary 589,000/= ,
 
Naenda 1st year,sitabadili napambana adi mwisho kikubwa nafight nipige gpa Kali tu.

Haya bwana ww nenda ila usijekutusumbua baadae mara ajira ngumu.. na malalamiko kibao kwa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…