Political Science and Public Adminstration vs Education

we chukua education then masters utabadilisha, coz now ajira inaenda kimjuano.! ushaur 2 ckurazimish
 
great thinkers,nmechaguliwa course ya PSPA udsm lakini nataka nibadili nisome education, naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi ya mwisho...

Hata usiposoma education,unaweza kuwa mwalimu na kupga hzo change zao.
Kwani wakati unachagua hiyo kozi,ulishurutishwa?

Kozi yoyote ile iliyopo vyuoni ina ajira (kuajiriwa na kujiajiri).

Kapige msuli wa nguvu,huko utapata kujua zaidi fursa unazoweza pata kupitia hiyo kozi unayoisoma.
 

ushauri mbaya sana
 
kweli kaka kuna ndugu yangu kasoma hyo pspa but yupo mtaani huu mwaka wa tatu kila akitafuta ajira wanamwambia mpaka awe na uzoefu wa miaka mitano na kuendelea ndo sasa hivi anatafuta nafas aende jeshini

akae kitaa mpaka miaka mitano iishe alaf arudi awaambie kashapata uzoefu
 
soma pspa, halafu ingia jeshini ,achana ualimu hauna maslahi kabisa salary 589,000/= ,

huko jeshini unafkir siku hizi wanaingia tu eeh yaan huko kama huna wa kukushika mkono nako kupata ni ndoto labda umwombe tu Mungu coz yye ndo muwez wa yote
 
wewe nenda education asilimia kubwa wamekushauri ivo nami nakushauri lasivyo utacheka ukimaliza.
 
Huko jeshini wanaingiaingia tu!? Madogo angalieni vitu mnavyoenda kusoma

we waache akina Mpiga msuli na second yr yake lazima aokote makopo
 
Last edited by a moderator:
kama vile nashawishika kuibadili hyo kozi,...ngoja nishauliane na familia kwanza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…