Political Science and Public Adminstration vs Education


niliipenda but watu naokutana nao ndo wananiambia haina ajira ndo maana nkaomba ushauri kuhusu ilo mkuu, ila nashukuru kwa mwanga wako
 
"jipe moyo utashinda"

hakuna course utakayosoma mbali na education au dct of medicine wadau wasikwambie ajira inasumbua ss kama utafikiria kigezo cha kukosa ajira baadae utaishia kuyumbishwa tu.
 
Nyie Km Mnataka Kufa Njaa Somen Hyo Course,mtasugua Kitaa Mpk Miaka 10,ushaur wangu soma education,ndo uhakika wa ajira then badae unaangalia ustaarab mwngne,
Itamsaidia sana mleta mada, kama atafuata hilo fungu la maneno hapo juu!!!:yell:
 
Dogo elimu haina mwisho kama vp tafuta kwanza ajira ili ujiendeleze baadae mm nilpo maliza six nikajiunga na jesh baadae nikaaply chuo nikiwa ndan ya ajira sahv mambo safi bila kuzunguka na bahasa.....wapowaliokuwa wananidharau kuwa jesh n kujitaftia umaskin lakn leo hii wananitafuta kuwaunganisha... Ww panga malengo yako uwe na msimamo wako
 
kila kozi ina changamoto zake,me naamin ni kozi nzuri na ina fursa sawa japo c kipaumbele cha serikali kama ilivyo walimu na madaktari!

"learns against the wall behind the chair and pick one of them get out of comic"
allan great'
nimependa sana jibu lako tena limenipa mwanga xo ngoja nipigane kisawasawa
 

sawa mkuu confidence ni nyenzo ya kutimiza malengo.
 
niliipenda but watu naokutana nao ndo wananiambia haina ajira ndo maana nkaomba ushauri kuhusu ilo mkuu, ila nashukuru kwa mwanga wako

Mkuu Michael snow ulijaza PSPA kama choice ya ngapi hadi wakakupanga?
 
PSPA wengi ni waalimu,,hivyo hujapotea mzeiya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…