Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
He he he he, hapo kina sisi lazima kwanza twende kwa mzee Hamisi kumuomba atuazime bodaboda itufikishe kituo cha basi, then two hours to the nearest airstrip. Omba Mungu kuwe na ndege siku hiyo, ndio uwasilishe hizo documents Dar.
Mzee Hamisi ? lol
The only guy with a bodaboda katika kitongoji chetu. 😱hwell:
And he may end up not voting for you still lol...
Bahati mbaya unakuta Fastjet imesimamishwa kwa kosa la kutolipa kodi ,mpaka ije ifunguliwe muda umekwisha,marehemu Rajabu Marijani mwanamuziki nguli wa Tanzania aliimba wimbo mmoja unasema Pesa sabuni ya roho,mtu mdogo anakaribishwa kwa kuitwa karibu mzee hata kama anayemkaribisha ana umri mkubwa kuliko huyo anayekaribishwa,mambo ya faranga si mkyeso kakaHe he he he, hapo kina sisi lazima kwanza twende kwa mzee Hamisi kumuomba atuazime bodaboda itufikishe kituo cha basi, then two hours to the nearest airstrip. Omba Mungu kuwe na ndege siku hiyo, ndio uwasilishe hizo documents Dar.
He he he he, hapo kina sisi lazima kwanza twende kwa mzee Hamisi kumuomba atuazime bodaboda itufikishe kituo cha basi, then two hours to the nearest airstrip. Omba Mungu kuwe na ndege siku hiyo, ndio uwasilishe hizo documents Dar.
Not so fast the chopper did not save the day! He got booted