hii ni poll ya upesi upesi kujua mwelekeo wa fikra za watu.
Je utakubali matokeo ya urais pale nec itakapoamua kuyatangaza?
A) hapana - sitakubali matokeo yoyote
b) hapana - kama ccm itatangazwa mshindi
c) hapana - kama chadema itatangazwa mshindi
d) ndio - yeyote akiwa mshindi
ndioooooooooooooooooooooo, na watz wengi tutayakubali, wapenda vurugu na shari mtayakataa
Hayo ni matokeo ya NEC sio matakwa ya wananchi ndio maana yanachelewa.!!
hapa nafikiri tunazungumzia kitu tusichokijua. Kwa mujibu wa sheria yetu ya uchaguzi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ndiye mwenye mamalaka ya kutangaza matokeo ya kura za urais, hoja ya kukubali au kukataa haikuwa taken into consideration katka sheria hiyo.
Hivyo ni kupoteza muda kujadili kukubali au kukataa matokeo chini ya sheria mbovu kama hiyo. Lakiniu kwa kuwa wachezaji waliingia uwanjani wakijua sheria za mchezo zilivyo, basi mchezo huo ni halali.