Elections 2010 Poll of polls; mjumuisho wa tafiti

Malaria Sugu, tupe angalau background yako pengine tutakusaidia kuondokana na umaskini wa kufikiri kwani wengine hilo sa hivi halitupi shida kabisa, isipokuwa huu ufisadi na viongozi wasio wazalendo.
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Mazumbukuku wanajidanganya kibwegebwegeeeeeeeeeeee !!!!!
 

(CCM na Mafisadi)Hawawezi kuamini. Wanafananisha Slaa na wapiga kura wa 2010 na Mrema na wapiga kura wa 1995.
 
redirty na sin-vote wana lao jambo. Wamelambishwa rushwa na hawana ujasiri tena nayo aibu imewashika
 
Kioo cha masaa 72 baada ya 6pm/7pm on 31-10-2010.
 
Yaani mafisadi wamekutilizwa! hata la kusema hamna, lakini si mlisha chimba mkwara kwamba serikali idhibiti tafiti?

Unajua hata kama CCM mtajitahidi kuiba kura, kama tofauti ni kubwa sana hamtaweza, Shime mtanzania mwenzangu piga kura 31 october tujiondoe mikonni mwa wadhalimu, kura yako moja inathamani kubwa na ujumbe mkubwa kwa mafisadi!

Huo ndio utafiti unao onyesha hali halisi, kubalini tu matokeo na muache kulikulia ovyo!
 
Nimejaribu kujumlisha matokeo ya urais kadri ninavyoyapata takribani vituo kama 4000 hivi na matokeo ni kama ifuatavyo

W. Slaa 51.2 na J. Kikwete 29.6%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…