Hao wa South Sudan Unawaona hapo walipitia Kenya, Au wazazi wao walipitia Kenya ndo wakiwa kwa kambi wakasafirishwa kwenda hizo nchi ili kupunguzia mzigo wa Refugees hapa Kenya... Hii ndio maana nchi wanayoijua mbali na nchi yao ni Kenya....
Refugees waliokua wanaishi Kenya by country of Origin, Kumbuka hawa ni registered refugees..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.