Polls: JF Man Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Man Of The Year 2011"?

  • BAK - Bubu Ataka Kusema

    Votes: 19 29.7%
  • Aspirin

    Votes: 29 45.3%
  • EMT

    Votes: 16 25.0%

  • Total voters
    64
  • Poll closed .
JF-HALISI
SAKATA LA WAJUKUU LACHUKUA SURA MPYA....!
-yathibitika wajukuu wote wanamtaka ''babu'' wa kitandani
-mababu wengine watishia mgomo baridi
-waomba nao wapewe wajukuu walau wawili

habari zaidi uk 4
Hiyo ni JF -UDAKU sio halisi.
Hujambo lakn bena.Potea wewe sana kulikoni?
 
Una uhakika na unachokiongea?au unadandia treni kwa mbele tu...
Narudia tena ASPRIN hufai kuwa JF man of year..

hahahahahahahahahah!.......uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

:hug:
The POWER of LOVE !!!!
 
Una uhakika na unachokiongea?au unadandia treni kwa mbele tu...
Narudia tena ASPRIN hufai kuwa JF man of year..
Labda tu dada yangu ungenielewesha tu kwamba treni linadandiwaje kwa mbele? nadhani unatafuta ban tu dada yangu kwa sababu haufahamu power alizonazo mwenye shindano hili. nakuonea huruma.
 
Labda tu dada yangu ungenielewesha tu kwamba treni linadandiwaje kwa mbele? nadhani unatafuta ban tu dada yangu kwa sababu haufahamu power alizonazo mwenye shindano hili. nakuonea huruma.

Hahahahaa.makubwa!Mtu mzima hatishiwi nyau nyau!!Eti pawa alizonazo mwenye shindano.Wa wapi wewe hivi?Sasa na hiyo bani hapa jf huwa inatolewa kishaghala baghala tu.nimevunja sheria gani mpka nipewe bani?...hebu nikae kimya mie ...kuelewesha watoto ni kazi jamani
 
Kwi kwi kwi kwi !!
yani unanichekesha unavyocheka.sasa wewe unaona anafaa?nipe sifa 3

1-anapendwa na wajukuu wooote...na ndo wengi wao mliompigia kura
2-anakubalika(babu mkagua)...labda wajukuu wameukubali ukaguaji wake
3-anapendwa na tanzania distlariiz,tbl,sbl,na watengenezaji wa penasol

NEED I SAY MORE?
 
:hug:
The POWER of POVU !!!!
 
Ninalinda masilahi ya mshiki.labda unaambie huyu Neiwa ndio A.K.A yake.
Junior nae hajambo?

junior bomba mamaa...!
hebu chek na avata yangu basi utapata picha...!
hahahahah!

uko mujini we mama lakini?
 
1-anapendwa na wajukuu wooote...na ndo wengi wao mliompigia kura
2-anakubalika(babu mkagua)...labda wajukuu wameukubali ukaguaji wake
3-anapendwa na tanzania distlariiz,tbl,sbl,na watengenezaji wa penasol

NEED I SAY MORE?

Zea ur!!!
Need i say more???
Mvua ya Baraka!!!!
 
1-anapendwa na wajukuu wooote...na ndo wengi wao mliompigia kura
2-anakubalika(babu mkagua)...labda wajukuu wameukubali ukaguaji wake
3-anapendwa na tanzania distlariiz,tbl,sbl,na watengenezaji wa penasol

NEED I SAY MORE?
Umesahau kumwambia navyopendwa na wahudumu wa Etienez, Kingstar, BM, Zero pub, Fyatanga na Fairway.
 
junior bomba mamaa...!
hebu chek na avata yangu basi utapata picha...!
hahahahah!

uko mujini we mama lakini?

Hiyo avatar huwa naicheki lakn siilewielewi.Hapo nimeelewa G peke yake.
Mie bado nipo kijijini Sitimbi nalima ndokanyi-viazi vya chpsi.Maisha ya jiji magumu
 
Zion D ntakushtaki

Umetufukuzia Neiwa wetu.

Teamo, sorry babu mdogo vipi ulifanikiwa japo kuchukua namba ya simu?
 
Mimi ni wa hapahapa usipumbazwe na hizi suti mpya nilizovaa, am just telling u the truth usipotoshwe na ile slogan ya we dare to speak openly!!
 
Zion D ntakushtaki

Umetufukuzia Neiwa wetu.

Teamo, sorry babu mdogo vipi ulifanikiwa japo kuchukua namba ya simu?
Ahahahaa.Neiwa kakimbia? pole jamani.labda teamo kapewa fesibuku aidii.
Lakin sasa nishajua.kutokana na sifa alizokupa Teamo inabidi tukuundie tume ya TAKUKURU..haiwezekani hapa kutakuwa na harufu ya rushwa ya ukaguzi
 
Hiyo avatar huwa naicheki lakn siilewielewi.Hapo nimeelewa G peke yake.
Mie bado nipo kijijini Sitimbi nalima ndokanyi-viazi vya chpsi.Maisha ya jiji magumu

hahahah!...
huyo ndo junio sasa....!nae anaitwa G ivo ivo....!
asee usisahau kuniletea raba,suruale na shati ukirudi....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…