Hahahahaha, sasa nimekuelewa mkuu, sio kosa lako.Wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao - By Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huyu ndio Rais wa nchi na ndio maana wanawake wote hamtambuliki bali mke wake ndio anaitwa First lady.Hahahahaha, sasa nimekuelewa mkuu, sio kosa lako.
Kama JK ndio reference yako, no wonder uko the way ulivo!
Kweli kabisa. sasa tuache sisi tusio tambulika tuishi Tanzania kwa kutumia kichwaHuyu ndio Rais wa nchi na ndio maana wanawake wote hamtambuliki bali mke wake ndio anaitwa First lady.
Mimi niko nilivyo sijui wewe ukoje ulivyo labda unatembelea kichwa badala ya miguu!!
Bongo ndio home, haya ni matembezi tu ya hapa na pale, mimi ni mbeba mabox ndani ya Bongo. hapa nilikuwa nafanya tu check & Ballance mechanism, ili neno ban lisiwaharibu ubongo wenu, maana hata Jakaya Kikwete angekuwa na udikteta huo wa kuamini katika ban basi leo hii JF isingekuwepo, sasa sijui ungepata wapi sehemu ya kunitia mimi hiyo hofu ya ban!!??Kweli kabisa. sasa tuache sisi tusio tambulika tuishi Tanzania kwa kutumia kichwa
wewe unae hishi Stockholm endelea kuwatambua wanawake kwa kutumia mguu wako huo. lol
Mbona unaongea sana mambo ya ban? tukienda kushoto, tukirudo kulia lazima utaje ban.Bongo ndio home, haya ni matembezi tu ya hapa na pale, mimi ni mbeba mabox ndani ya Bongo. hapa nilikuwa nafanya tu check & Ballance mechanism, ili neno ban lisiwaharibu ubongo wenu, maana hata Jakaya Kikwete angekuwa na udikteta huo wa kuamini katika ban basi leo hii JF isingekuwepo, sasa sijui ungepata wapi sehemu ya kunitia mimi hiyo hofu ya ban!!??
Ahahahaaa.Haya ngoja nisepe ili wajukuu warudi.
Yuko mwingine huko sijui jeiibii ananitishia Ban.Mwambie SIOGOPI!!!!
Take care lakni.
Mbona unaongea sana mambo ya ban? tukienda kushoto, tukirudo kulia lazima utaje ban.
Wengine tunahishi free humu JF, we talk openly, na hatujawahi pata Ban. Zingatia masharti tu.
Ban sio udikteta, ni disciplinary measure. Kwa kifupi if yo mama taught you how to behave huwezi pata ban kirahisi.
Hongera kwa kazi ya kubeba maboxi, naskia inalipa.
mi ni Mwali tu hapa kijijini, sina kazi nyingine zaidi ya kua mwanafunzi wa AshaDii, JF woman of 2011.
Yaani wewe kujiunga na Jamii Forum ndio unajiona mwenyeji? mimi ambaye niko tangu Jambo forum mbona sina mbwembwe hizo? au unataka leo hii uione ID yangu ikiwa ni Premium member? acha hizo wewe!!Mwali....usiongee na wageni bila utaratibu sawa eeh...Haya rudi ndani upesi.
Shkamoo Uncle, ngoja nirudi haraka.Mwali....usiongee na wageni bila utaratibu sawa eeh...Haya rudi ndani upesi.