Kuna ubaya kukujua? Nachelea kukutaja watu wengine wasijue.lolz. unapenda kujua wewe!
Inawezekana ni ndugu yangu labda nitajie nitakuambia kama namfaham.
Hahahaha... unaniharibia move bana...odiiem niachie basi huyo NEIWA...!
naona jukuuz wote wanakuja kwako tu....!
nipe na mimi huyo ni mlee
yours"
babu-mdogo
Sim ya mkononi ya nini wakati nahishi kwa babu,Nimekubali kutokukubaliana, niko Stockholm Sweden muda huu nikiwa nabofya hii keybord kwa my facebook friend.
Nadhani wewe huna hata sababu ya kuwa na simu ya mkononi.
Hahahaha... unaniharibia move bana...
Haya mi naachia wewe, ukishindwa niambie.
Waacheni wajukuu wote waje kwangu kwakuwa ufalme wa ODM ni mali yao.JF-HALISI
SAKATA LA WAJUKUU LACHUKUA SURA MPYA....!
-yathibitika wajukuu wote wanamtaka ''babu'' wa kitandani
-mababu wengine watishia mgomo baridi
-waomba nao wapewe wajukuu walau wawili
habari zaidi uk 4
Mweleze mama.... yaani wee ni mali ya ODM. Mweleze ajue kabisa.Sim ya mkononi ya nini wakati nahishi kwa babu ODM,
baba yangu na ndugu zangu wote tunahishi within walking distance
I was born here, so all my friends and schoolmates live here as well.
Mimi ni standard seven Graduate naomba uniulize swali lako kwa lugha ya Taifa, sina umahili sana kwenye hii lugha ya kikoloni.
Kha! umebadili maneno yangu bwana!Waacheni wajukuu wote waje kwangu kwakuwa ufalme wa ODM ni mali yao.
Mweleze mama.... yaani wee ni mali ya ODM. Mweleze ajue kabisa.
odiiem niachie basi huyo NEIWA...!
naona jukuuz wote wanakuja kwako tu....!
nipe na mimi huyo ni mlee
yours"
babu-mdogo
Neiwa likes this.sasa Neiwa nadhan hili bandiko ndo umeshalisoma...!
need i say moore?....sidhani...
nadhani tujichimbie pm ili tukubaliane tu kwamba ''ni lini'' na ''ni wapi''....baaaaaaaaaaaaaaaassss:eyebrows:
Yaani ni full ukaguzi, babu akichoka Kongosho asali ya ODM anakamata jahazi.Kha! umebadili maneno yangu bwana!
mi siwezi kuja kwako, ukaguzi 200%.
Ukipona kwa babu anakuokota Kongosho...
Slow down baby girl... umesema we bado mgeni sasa mambo ya kukagua umeyajulia wapi tena?.... BTW Teamo hakagui bali anavumbua. Mkaguzi ni ODM peke yake. Go that way akavumbue madini yako.Bahati mbaya mimi si wakukaguliwa.
Slow down baby girl... umesema we bado mgeni sasa mambo ya kukagua umeyajulia wapi tena?.... BTW Teamo hakagui bali anavumbua. Mkaguzi ni ODM peke yake. Go that way akavumbue madini yako.
Eheee.... safi sana. Sasa usisahau kumgonge na Ma-LIKE ya nguvu. Afu umuulize anaishi wapi na anapendelea kinywaji gani (hii unaulizia kwenye PM tafazali)hahahah!......
Neiwa naona umeona mwenyewe....!mimi ni ''babu-teamo'' aka ''babu-mpya''
sasa Neiwa jibu kabisa hizo pm zangu mama
yours'
Babu-Mpya
Slow down baby girl... umesema we bado mgeni sasa mambo ya kukagua umeyajulia wapi tena?.... BTW Teamo hakagui bali anavumbua. Mkaguzi ni ODM peke yake. Go that way akavumbue madini yako.
Nilikuwa natumia Google Tlanslate, sasa hivi page imegoma kufunguka, kwa nini unaniita mnafki?Unafiki sio mzuri wa kujaribiana kuona member mwenzio atanya nini. Ulitangulia kuniuliza kwa kiingereza nika kujibu kwa kiingereza. maneno yako ya kiingereza katika post tatu za mwisho zinaonesha kua umeelewa maana yangu ila unakwepa kujibu swali. Mahala unapoishi sasa hivi kama wewe ni mkweli panasema umenielewa. Next time hutaki kunijibu sema ila usirafute visingizio Charlie Champlain.
Hilo la ukaguzi si tushaliweka pembeni? sasa hivi twazungumzia Uvumbuzi wa Babu Mpya Teamo wa Amani. Usislow down tafazali, Please hurry kabla mvumbuzi hajarudi mkekani.JF Man of the Year utakua ni msahaulifu sana. Rudi nyuma utakuta umeniita kunikagua na nika decline. Nenda mbele utakuta the so called mvumbuzi anadai kua kuna ukaguzi nae ataka kukagua pia else atavuta mgomo. need I still slow down?