Huna lolote blah blah dot com.
Easy Mkuu, unapata pressure na mambo madogo madogooo saaaaaana. Hii ni thread sawa na thread nyingine na uko huru kuandika lolote. Hainipi tabu.
Further sina copy right wala silipwi wala sijatumwa. Kama unaweza unaweza kuanzisha lako uone jinsi ilivyo rahisi kama kucheza kiduku . . .
Get your life man na leta urguments kwenye vitu vya kimsingi. Ni mtu gani usielewa mambo madogo hata ukielezwa kwa kina?
QED
Usipoteze muda wako mkuu ku explain unachofanya. Wengi tumeona kazi zako hapa JF.
Tumefurahia, tunafurahia na tutazidi kufurahi.
Ambao wako negative kuhusu shughuli zako
Acha nao. Chuki binafsi hazita wafikisha mahali ..
Ashadii.
afu wewe..
Achana nae mpenzi
Tuendelee na igunga yetu hapa
Basi hana nidhamu, awe disqualified.duh!! AD wangu kapigwa ban tena?siji nitakuwa mgeni wa nani= kwa Mwali ndio nimeshaharib basi tabu tupu
Hakunaga zaidi ya AshaDii!
hamna AD sio mkorofi kabisa alichokozwaBasi hana nidhamu, awe disqualified.
Nawaza nani nimpe kura yangu.FF for Real People
yg
Vote FF
Nawaza nani nimpe kura yangu.
Nipe sababu moja mkuu kwanini FF?
She is real, uliza swali anakupa jibu la staha ya swali, haumi umi maneno, sifa ambayo wachache sana wanayo
Anatetea analoamini hata kama utamchukia, wachache sana watu wa aina hii
Anaijua siasa kwa kiwango chake
Ni mkubwa kiumri lakini bado anaweza kwenda ba flow ya vijana katika mada nyingi.
Naona anastahili kura na sapoti yetu, afu hayupo kwa hiyo hawezi haa kujikampenia.
manake kura yako imeenda na majiUmenipa sababu nyingi sana.
Kura yangu anayo.