Polls: King of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF King of MMU 2011"?

  • Mbu

    Votes: 28 43.1%
  • The Boss

    Votes: 37 56.9%

  • Total voters
    65
  • Poll closed .

mpe mbu huku halafu kule kwa man of jf umpe babu itakuwa fair kabisa
 

Dah! hili speech kuliko la ban ki moon. Unajua bana kusema kweli nyote wawili mko juuu sana tatizo linakuja inabidi tuchague mmoja. Lakini kama ulivosema hapa MMU wote tunashinda haijalishi Mbu wala Ze boss
 

ila mimi kura yangu unayo mkuu
 
Ndo maana tumeshauri ama huu uchaguzi usifanyike kabisa au tukubaliane, mmoja awe wa 2011 na mwingine wa 2012....

Hii kamati ya Superman imekosa busara za 1947....Kuna watu hawawezi kupambanishwa bwana....!!

Babu DC!!

....hahaha, am humbled kamanda. Pamoja daima.

Nawatakia kura njema, na wiki njema ijayo 😛oa
 
....hahaha, am humbled kamanda. Pamoja daima.

Nawatakia kura njema, na wiki njema ijayo 😛oa


Kaka,

Babu keshamaliza kuishawishi akili yake ya 1947 kwamba mwaka huu MMU haina kura kwa sababu Superman katuletea wagombea ambao hawawezi kupambanishwa...

Enzi zetu tungesema anataka kutufarakanisha....

I am not voting, unless .....................

Babu DC!!
 

hahahahaaa fazaa basi.....tuliza nafsi. Pole sana...kwa mkasa wa Boss!! Nini wewe, The Boss jina tu tena full masharubu! Mbu ndio mfalme mwenyewe, kwa mapana na marefu!!!! Hapa hakuna malaria arifu, vote for Mbu only.....hata kama huna watoto kaazime majukuu!!! Boooooo - kwa melody sound ya kisambaa!!! LOL
 
MBU anang'ata kweli, kura yangu kwake!:eyebrows::eyebrows:
 
huku ni TB
ntaenda kukuongezea nguvu kwa woman of the year

huyu atajenga bara bara ya mpwapwa ili uweze enda dodoma

@kongosho na kipipi ndio mnazidi kunichanganya. Bora nisivote.
 
huku ni TB
ntaenda kukuongezea nguvu kwa woman of the year

huyu atajenga bara bara ya mpwapwa ili uweze enda dodoma

hebu niitie aje aniambie sera zake. Lol! (Leo wapiga kura full mapozi.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…